Wasiwasi kuhusu ufadhili wa SHA waibuliwa

  • | K24 Video
    37 views

    Mamlaka ya afya ya kijamii (SHA) iko chini ya shinikizo la kutathmini na kuongeza viwango vya baadhi ya huduma za matibabu zinazofadhiliwa kupitia Taifa Care. Mnamo Jumatatu, kamati ya afya ilikutana na wawakilishi wa SHA pamoja na wizara ya afya kujadili upana wa huduma zinazotolewa chini ya mfumo huo.