Madai ya kurejea kwa Mungiki eneo la mlima Kenya yatonesha vidonda

  • | K24 Video
    3,468 views

    Madai ya kuhuishwa kwa kundi haramu la Mungiki eneo la mlima Kenya yametonesha vidonda kufuatia unyama uliodaiwa kutekelezwa na kundi hilo. Wakazi wa eneo hilo wameingiwa na kiwewe kuhusu kurejea kwa Mungiki. Kijiji cha Gathaithi katika kaunti ya nyeri ambako miaka 15 iliyopita kundi la mungiki liliwahangaisha mno katika makala maalum ya wimbi la Mungiki