Walimu wakuu Turkana watishia kuwatuma wanafunzi nyumbani kutokana na kuondolewa kwa Basari

  • | NTV Video
    36 views

    Walimu wakuu katika shule za upili Turkana wameamua kwa kauli moja kutowaruhusu wanafunzi shuleni baada ya mapumziko mafupi huku wakilaumu serikali kuu kupitia mratibu wa bajeti na Katiba Institute waliochangia kuondolewa kwa mgao wa basari kutoka kwa magatuzi wakisema hiyo ni shughuli ya serikali kuu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya