Wazee wa jamii ya Kipsigis wahimiza utunzaji wa turathi

  • | KBC Video
    10 views

    Baraza la wazee wa jamii yaKipsigis linatoa wito kwa jamii hususan vijana kushiriki katika mbinu za kurejesha na kuhifadhi turathi za kitamaduni. Wakiongozwa ma mwenyekiti Richard Ngeno wazee hao walikongamana katika kilima kitakatifu kwa jamii hiyo cha Tulwap Kipsigis, ambako walisema kutunza na kuhifadhi turathi za kijamii ni muhimu kwani kunaipa jamii husika utambuzi na kuwaunganisha watu na historia yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive