Mashirika ya haki yataka Uganda imwachilie kiongozi wa upinzani

  • | Citizen TV
    1,144 views

    Mashirika ya kutetea haki Kaunti ya Mombasa yameshtumu kuendelea kuzuiliwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye