- 165 viewsUhamiaji na uchumi ni miongoni mwa vipaumbele vya wapiga kura wa Marekani wakati walipokwenda kwenye uchaguzi Novemba mwaka 2024. Lakini hivi sasa je Wamarekani wanahisi vipi kuhusu uchumi mwezi mmoja tangu Urais wa Donald Trump? VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Wamarekani watoa maoni yao kuhusu hali ua uchumi
- - NTV Kenya LIVE ››
- 16 Jun 2025 - Former Deputy President Rigathi Gachagua has urged the Kenyan youth to avoid taking to the streets on June 25 to commemorate the deadly aftermath of the anti-tax protests , warning that there is a plot to kill them.
- 16 Jun 2025 - Former Chief Justice David Maraga now wants president William Ruto to take action following the heinous murder of teacher Albert Ojwang', saying the buck stops with him as the head of government.
- 16 Jun 2025 - The Independent Policing Oversight Authority (IPOA) has filed a miscellaneous application seeking to detain Nairobi Central Police Station OCS, Samson Taalam, for 21 days to allow completion of investigations into the gruesome murder of blogger Albert…
- 16 Jun 2025 - Treasury Cabinet Secretary John Mbadi has reiterated that the 2025/2026 Budget is specifically tailored for the ordinary Kenyan, taking into account fiscal responsibility, tax relief, and enhanced efficiency in public spending. Addressing concerns…
- 16 Jun 2025 - Ojwang, a blogger and teacher, died on June 7 while in custody at Central Police Station.
- 16 Jun 2025 - The CVR captures audio from the cockpit, including pilot conversations, alarms and ambient sounds.
- 16 Jun 2025 - The directors argued that they were employees and had been unfairly dismissed; the party argued that they were not employees but consultants.
- 16 Jun 2025 - Kenya is already expecting some Ksh75 billion from the IMF in climate funding expected this November.
- 16 Jun 2025 - Nairobi Central Police Station OCS, Samson Talam is currently at the Milimani Law Courts in connection with the death of social media influencer and teacher, Albert Ojwang. Talam was named by the Directorate of Criminal Investigations (DCI) boss during…
- 16 Jun 2025 - Nairobi Central Police Station OCS, Samson Talam is currently at the Milimani Law Courts in connection with the death of social media influencer and teacher, Albert Ojwang. Talam was named by the Directorate of Criminal Investigations (DCI) boss during…