Skip to main content
Skip to main content

Serikali yatoa chanjo ya kipindupindu maeneo yaliyoathirika kaunti ya Narok

  • | Citizen TV
    110 views
    Duration: 1:48
    Idara ya Afya kwa ushirikiano na shirika la Msalaba mwekundu imetangaza kutoa chanjo ya kipindupindu katika maeneo ya Transmara Magharibi na Kusini kuanzia leo.