Ujenzi wa chuo cha michezo Suba

  • | Citizen TV
    240 views

    Shule ya msingi ya magunga itakuwa nyumbani kwa chuo cha michezo cha suba kusini ambacho kitagharimu shilingi milioni 55 baada ya kukamilika. Sherehe ya kuweka msingi wa chuo hicho iliongozwa na waziri wa michezo salim mvurya jumatano alasiri.