Waashukiwa 3 wauaji ya Gaala Aden washtakiwa Garissa

  • | Citizen TV
    334 views

    Washukiwa watatu wanaohusishwa na mauaji ya msichana wa miaka 17, Gaala Aden, yaliyotokea eneo la Hadado, Kaunti ya Wajir wamefikishwa mahakamani Garissa hii leo