Mwili wa Mbunge Ong’ondo Were wasafirishwa kutoka Nairobi hadi Homa Bay kwa mazishi

  • | TV 47
    288 views

    Mwili wa Mbunge Ong’ondo Were wasafirishwa kutoka Nairobi hadi Homa Bay.

    Mazishi yanatarajiwa kufanyika Ijumaa.

    Wakazi wa Homa Bay waaga mwili wake katika Shule ya Msingi Agoro Sare.

    Gavana Gladys Wanga na viongozi wengine waungana kuonyesha heshima.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __