Isaac Kuria, mshukiwa anayedaiwa kumpiga risasi Ong'ondo Were akamatwa eneo la Isebania

  • | Citizen TV
    5,368 views

    Were: Aliyefyatua Risasi Akamatwa Mshukiwa Anayedaiwa Kumpiga Risasi Were Akamatwa Isaac Kuria Alikamatwa Mafichoni Eneo La Isebania Kuria Anadaiwa Kupanga Kutorokea Nchini Tanzania Watu 11 Wamekamatwa Kuhusiana Na Mauaji Hayo Ong'ondo Were Aliuwawa Kwa Kupigwa Risasi Nairobi