Visa vya mimba za utotoni na ukeketaji vyakithiri Narok

  • | Citizen TV
    83 views

    Ndoa za mapema, ukeketaji na kufeli kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi ya wahusika ni vizingiti vikuu vy kukabiliana na dhuluma za kijinsia katika kaunti ya Narok.