Kayole Starlets mabingwa wapya wa WNSL

  • | Citizen TV
    167 views

    Kayole Starlets walitawazwa mabingwa wa ligi kuu ya daraja la pili ya wanawake, baada ya kuwaadhibu madira soccer assassins 3-0 kwenye fainali za mchujo katika uwanja wa maonyesho ya Nakuru ASK. Ligi hii ilikuwa ngumu kwani iligawanywa katika kanda "A" na "B" na washindi wakikutana katika fainali. Madira ilishinda kanda "B" huku Kayole wakiwa washindi katika kanda "A". Msimu mrefu wa Kayole ulianza mapema kuliko timu zingine ila hatimaye ulizaa matunda.

    assassin