Wakazi wa Kakamega wapinga njia ya kupanga uzazi kwa kufanya oparesheni maalum yaani Vasectomy

  • | NTV Video
    185 views

    Wanaume na hata baadhi ya wanawake mjini kakamega wamepinga vikali hatua ya wanaume kusaidia wake zao kupanga uzazi kwa kufanyiwa oparesheni maalum kwa kimombo ‘vasectomy’ wakisema inachangia pakubwa kuvunjika kwa ndoa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya