Wasifu wa Ngugi wa Thiong'o

  • | Citizen TV
    176 views

    Amejulikana kama simba wa fasihi ya Afrika – Profesa Ngũgĩ wa Thiong’o, gwiji aliyepambana na ukandamizaji kwa kutumia kalamu na wino. Aliandika historia upya, akigeuza seli za gereza kuwa vitovu vya mapinduzi ya kifasihi.