Maadhimisho ya siku ya madaraka kaunti ya Homabay

  • | KBC Video
    55 views

    Miezi michache baada ya kuanzishwa kwa serikali inayojumuisha pande zote kufuatia mkataba wa UDA-ODM, sherehe za kitaifa za siku ya Madaraka ziliandaliwa Homa Bay, iliyokuwa ngome ya upinzani na baadhi ya jumbe za kisiasa zilitolewa. …UPS Wanga… Maoni yaliyoungwa mkono na Naibu Rais Kithure Kindiki na aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga. …UPS…Huku akitambua masaibu waliyopitia wenyeji wakati wa maandamano ya kupinga ushuru, Raila alimhimiza Rais kutoomba msamaha pekee bali pia kuwafidia. …ups… Rais William Ruto hata hivyo alipuuza suala hilo, na badala yake kuangazia faida ambazo serikali inayojumuisha pande zote imeleta nchi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive