Hospitali zaidi zachunguzwa kote nchini

  • | Citizen TV
    82 views

    Huenda sakata ya kuuza viungo inayohusisha hospitali ya Mediheal ikawa imehusisha hospitali nyingi zaidi, na kuwaathiri wakenya wengi zaidi ambao walilaghaiwa kuuza figo zao na mawakala wa kampuni za ughaibu.