Kakamega: Michezo ya shule za upili yavutia idadi kubwa ya mashabiki

  • | NTV Video
    76 views

    Maelfu ya mashabiki wa mpira wa soka na michezo mingine ya kitaifa katika shule za upili iliyofanyika Kaunti ya Kakamega na kutamatika siku ya Jumamosi wiki iliyopita ilishuhudia idadi kubwa ya mashabiki ikilinganishwa na wale ambao hujitokeza kutazama mechi za Ligi Kuu nchini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya