Magatuzini I Mvua kubwa yasababisha uharibifu Busia

  • | KBC Video
    14 views

    Mamia ya wafanyabiashara katika Mji wa Busia wanakadiria hasara baada ya mafuriko kuharibu mali yao kufuatia mvua kubwa iliyonyesha katika eneo hilo. Kwa hizi na habari nyingine ni katika mkusanyiko ufuatao wa habari za kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive