Mshauri wa raisi Moses Kuria ametaka Kipchumba Murkomen kufutilia mbali zoezi la kuajiri askari jela

  • | Citizen TV
    3,049 views

    Mshauri wa raisi Moses Kuria ametaka waziziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen kufutilia mbali zoezi la kuajiri Askari jela kwa tuhuma ya kukumbwa na ufisadi.Akizungumza katika hafla ya kuchangia kanisa eneo bunge la Gem, Kuria amesema amepokea lawama kutoka wakenya wengi wakidai kuitishwa rushwa ilikusajiliwa katika kikosi hicho.Wabunge waliandama naye wakimsuta aliyekuwa makamu wa rais Rigathi Gachagua kwa kueneza siasa za ukabila nchini. Aidha wakisema wanaunga mkono ushirikiano wa rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga kwa minajili ya kuunganisha wakenya pamoja.