Wanaharakati wawasilisha kesi mahakamani

  • | Citizen TV
    488 views

    Macho yote yameelekezewa jaji mkuu Martha Koome kuona ikiwa ataruhusu kuapishwa kwa Mwenyekiti na makamishna sita wa IEBC baada ya rais kuchapisha majina yao licha ya agizo la mahakama la kuzuia hatua hiyo. wanaharakati wawili wamewasilisha Ombi Mahakamani kuitaka idara hiyo kutoshiriki kuapishwa kwa makamishna wa tume ya uchaguzi baada ya majina yao kuchapishwa rasmi kwenye gazeti la serikali.