#RutoAt1000 | Elimu kwa wote? Gharama zasalia juu licha ya ahadi za serikali.

  • | NTV Video
    134 views

    Moja ya ahadi ya serikali ya Kenya Kwanza kwa sekta ya elimu ilikuwa nikufanikisha elimu kwa wote na kupunguza gharama ya elimu ila kwa kipindi cha siku elfu moja, sekta ya elimu imeendelea kupitia mabadiliko kuu ikiwa mfumo mpya ya kugharimu masomo ya chuo kikuu na hata kutupiliwa mbali mpango wa serikali kugharamia malipo ya mitihani ya kitaifa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya