Ajali mbaya zaidi za ndege kuwahi kutokea

  • | BBC Swahili
    1,497 views
    Tarehe 12 Juni 2025, ndege ya Air India iliyokuwa ikielekea London ilianguka sekunde 30 tu baada ya kuruka kutoka uwanja wa Ahmedabad, magharibi mwa India. Zaidi ya watu 240 wamethibitika kufariki dunia, huku uchunguzi ukiendelea kuchunguza chanzo cha ajali hii mbaya. Ndege hiyo iliangukia kwenyemakazi ya madaktari, na kwa miujiza mtu mmoja amenusurika kifo. Lakini leo @bosha_nyanje anaangazia ajali 5 mbaya zaidi kuwahi kutokea katika historia ya usafiri wa anga duniani - - #bbcswahili #ajali #ndege #vifo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw