Viongozi wa Kenya kwanza wamewasuta wapinzani

  • | Citizen TV
    460 views

    Viongozi wa Kenya Kwanza wamewasuta vikali viongozi wa upinzani kutokana na kile wanachodai ni kuwalenga wandani wa Rais William Ruto wakiwemo wabunge wanaomuunga mkono kutoka eneo la mlima Kenya.