Wakazi wa Voi wamefanya maandamano ya amani

  • | Citizen TV
    160 views

    Wakazi wa Ndome,Ndii na Mbulia eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta wamefanya maandamano ya amani kushinikiza wasimamizi wa shamba la kijamii la Mbulia kukoma kuuza vipande vya ardhi vilivyoko kando ya barabara kuu ya Nairobi kwenda Mombasa.