Naibu Gavana ataka uchunguzi wa malipo hewa

  • | Citizen TV
    186 views

    Naibu Gavana wa Kaunti ya Kericho,Fred Kirui, ametaka uchunguzi wa haraka kufanywa kuhusu madai ya malipo hewa ya takriban shilingi milioni 80 yaliyolipwa kwa wakandarasi na wasambazaji bidhaa.