Maambukizi ya ugonjwa wa Mpox yameendelea kuripotiwa kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    919 views

    Watu wanne wameripotiwa kufariki kutokana na ugonjwa wa Mpox kaunti ya Mombasa tangu ugonjwa huo ulipotambuliwa mwezi Julai mwaka jana