Marehemu wakili Pheroze Norwojee amiminiwa sifa

  • | Citizen TV
    702 views

    Wakenya kutoka nyanja mbalimbali wamemkumbuka marehemu wakili Pheroze Norwojee, wakimtaja kama mwanasheria mahiri na maarufu kwa utetezi wa haki za kibinadamu nchini