Wakazi wa Makueni wameelezea hofu yao kuhusu visa vya mauaji ya vijana wakati wa maandamano

  • | Citizen TV
    180 views

    Wakaazi kaunti ya Makueni wameelezea hofu yao kuhusu visa vya mauaji ya vijana ambayo yanatekelezwa na maafisa wa polisi wakati wa maandamano. Wakazi hao wamewakashifu viongozi wanaowaagiza polisi kuwapiga risasi waandamanaji wakisema kuwa ingekuw abora kama viongozi wangewajibika zaidi na kutatua changamoto zinazowafanya vijana kuandamana