Viongozi wa upinzani wakashifu serikali kwa dhulma

  • | Citizen TV
    416 views

    Viongozi wa kisiasa wanaoegemea mrengo wa upinzani kutoka kaunti ya Kajiado wakiongozwa na wakili Daniel Kanchori wanazidi kuikashifu serikali kwa kuwakamatwa viongozi wa upinzani nchini kwa lengo la kunyamazisha