Kiwanda cha kuchakatua plastiki na taka kimezinduliwa Likoni

  • | Citizen TV
    235 views

    Kiwanda cha kuchakatua plastiki na taka zingine na kutengeza bidhaa tofauti za dhamani kimezinduliwa eneo la Likoni kaunti ya Mombasa