"Kwanini mnaniziua nisiongee, Bungeni pia mlikuwa mnafanya hivyo"

  • | BBC Swahili
    10,366 views
    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Pole Pole amesema kuwa anapinga utekaji na kuwa dada yake ametekwa. Pole pole ameyasema hayo mubashara kupitia ukurasa wake wa Facebook. Hili ni moja ya mambo mengine mengi aliyoanisha katika video yake. Amezungumzia pia kutoridhishwa na uendeshaji wa chama chake cha CCM. Hata hivyo kamanda wa kanda maalum Dar es salaam Jumanne Muliro amesema kuwa walifatilia tukio hilo, na Dada wa Polepole kuwa alifika katika kituo cha polisi na kutoa taarifa za kutekwa. #bbcswahili #tanzania #ccm Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw