Boniface Mwangi atafikishwa mahakamani kesho kwa tuhuma za kuwezesha ugaidi

  • | KBC Video
    101 views

    Mwanaharakati Boniface Mwangi atakesha usiku mwingine katika kituo cha polisi akisubiri kufikishwa kwenye mahakama ya Kahawa siku ya jumatatu kuhusiana na madai ya kufanikisha shughuli za kigaidi wakati wa maandamano ya tarehe 25 mwezi jana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive