Nigeria yajikatia tiketi ya fainali WAFCON. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    8,302 views
    Michuano ya kuwania kombe la mataifa ya soka Afrika (WAFCON) hii leo imetinga hatua ya nusu fainali. Bingwa mara tisa wa dimba hilo Nigeria wameichabanga Banyana Banyana ya Afrika Kusini mabao 2-1 jijini Casablanca. Na kwa hilo, sasa Nigeria imejikatia tiketi ya kucheza fainali.