Wamalwa: Mazungumzo yanayopendekezwa kufanyika si ya kusuluhisha changamoto zinazowakabili Wakenya

  • | NTV Video
    957 views

    Eugene Wamalwa amesema kuwa mazungumzo mapya yanayopendekezwa kufanyika ni njama ya kutuliza joto la kisiasa nchini wala si ya kutafuta suluhu kwa changamoto zinazowakabili Wakenya.

    Akimsuta Rais William Ruto, Wamalwa amesema kuwa serikali inayafahamu fika masuala yanayowatatiza Wakenya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya