“Alikuwa na uzito wa kilo 40, sasa ana chini ya kilo 10”

  • | BBC Swahili
    2,009 views
    Raia wa Gaza waelezea namna wanavyokabiliwa na utapiamlo unaotishia maisha yao. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametaja hali ya Gaza kama “njaa ya kutengenezwa na binadamu kwa makusudi.” #bbcswahili #Gaza #who Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw