Biashara I CFAO Healthcare yapanua huduma zake

  • | KBC Video
    18 views

    kampuni ya CFAO Healthcare imepanua huduma zake katika soko la afrika mashariki baada ya kuyanunua maduka ya kibinafsi ya kuuza dawa humu nchini ya, Goodlife. Ununuzi huo umewadia wakati huu ambapo Kenya inahitaji kusambaza huduma zake za afya kufuatia ongezeko la mahitaji ya kadri ya huduma za matibabu. Kwa habari hizi na nyingine hiki hapa ni kitengo chetu cha habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive