Harold Kipchumba Kimuge aapishwa kuwa mbunge mteule

  • | KBC Video
    537 views

    Mbunge maalum Harold Kipchumba Kimuge ameapishwa katika bunge la kitaifa, siku tatu baada ya tume ya uchaguzi na mipaka humu nchini-IEBC kuchapisha uteuzi wake kwenye gazeti rasmi la serikali. Kimuge aliteuliwa na chama cha ODM ambapo atawawakilisha watu walio na ulemavu bungeni. Kimuge amechukua nafasi ya waziri wa fedha John Mbadi. Mbunge huyo ameapishwa licha ya uteuzi wake kupingwa vikali na vuguvugu la vijana wa chama cha ODM.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive