Wasimamizi wa Mediheal wakanusha kuhusika na upandikizaji haramu wa viungo

  • | KBC Video
    28 views

    Hospitali ya Mediheal imepuzilia mbali ripoti ya kamati maalum ya uchunguzi kuhusu huduma za upandikizaji viungo kuhusiana na kashfa ya ulanguzi wa viungo vya binadamu. Akiongea jijini Nairobi, mwanzilishi wa hospitali hiyo, Dkt. Swarup Mishra amedai kwamba bado hawajadadavua ripoti hiyo inayopendekeza uchunguzi wa kiuhalifu kuhusiana na madai ya upandikizaji haramu wa viungo vya mwili. Dkt Mishra amesema kuwa ripoti hiyo ni vita vya kisiasa kwa dhamira ya kudunisha uadilifu wa kituo hicho cha afya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive