Wakazi wa Mikocheni Taita Taveta wahofia kufurushwa

  • | Citizen TV
    30 views

    Wakazi zaidi ya elfu tatu wa kijiji cha Mikocheni eneo bunge la Taveta kaunti ya Taita Taveta wanataka suala la utata wa ardhi kutatuliwa na serikali kwani huenda wakafurushwa katika ardhi ambayo wameishi kwa muda mrefu