Gavana wa Fernandes Barasa Kakamega azindua kikundi cha wakulima vijana

  • | Citizen TV
    61 views

    Gavana wa kaunti ya Kakamega,Fernandes Barasa, amezindua kikundi cha pili cha wakulima wa kibiashara, kaunti ya Kakamega katika kituo cha utamaduni cha Mumias