Otuoma aahidi kushirikiana na EACC katika uchunguzi kuhusiana na maafisa 6 wakuu wa Busia

  • | KBC Video
    68 views

    Gavana wa kaunti ya Busia Paul Otuoma amethibitisha kuwa anashirikiana kikamilifu na maafisa wa Tume ya Maadili na kukabiliana na Ufisadi (EACC) katika uchunguzi unaoendelea kuhusiana na maafisa sita wakuu wa kaunti wanaohusishwa na ulaghai kwenye zabuni ya shilingi bilioni 1.4.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive