Kilimo cha Mpunga Butula

  • | Citizen TV
    107 views

    Licha ya mpunga kuchukuliwa kuwa mmea unaopandwa katika maeneo ya nyanda za chini yaliyo na maji mengi, wakulima katika eneo bunge la butula kaunti ya busia wameanza kukumbatia kilimo hicho