Zaidi ya wakazi 500 wapokea huduma za matibabu bure

  • | Citizen TV
    254 views

    Zaidi ya watu mia tano katika eneo la Kivani kaunti ya Makueni wamepokea matibabu bila malipo kutoka kwa wakfu wa pokea afya.