Ruto, Raila waongoza kikao cha pamoja cha wabunge wanaoegemea chama cha UDA na wale ODM

  • | NTV Video
    84 views

    Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga leo hii wameongoza kikao cha pamoja cha wabunge wanaoegemea chama cha UDA na wale ODM hapa Nairobi. Mwanahabari wetu david muthoka yuko katika eneo la karen palipofanyika kikao hicho na sasa tuungane naye atupe mukhtasari wa yaliyoibuka.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya