Ilikuwa lazima upige 'ishara ya msalaba' ukienda vitani

  • | BBC Swahili
    633 views
    Aliwahi kutajwa kama gaidi, nabii na muuaji katili; Joseph Kony wa Uganda, ambaye anasakwa kwa uhalifu wa kivita na hajakamatwa hadi sasa kwa zaidi ya miongo miwili. Aliwateka watoto na kuwageuza kuwa wanajeshi… Vijiji vilichomwa moto, raia walikatwa viungo - mikono, midomo, na masikio yote hiyo ilikuwa ni kueneza hofu. Je yote haya yalianzaje? @Sammy anasimulia #bbcswahili #tanzaniatiktok #kenyatiktok #ugandatiktok #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw