Waziri Murkomen aelezea hofu ya kuibuka kwa magenge

  • | Citizen TV
    594 views

    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amelezea hofu ya kuibuka kwa magenge ya uhalifu eneo la kati, akisema serikali iko ange kukabiliana na wavunjaji sheria