Rais amewaonya wabunge wanaojihusisha na ufisadi

  • | Citizen TV
    531 views

    Rais William Ruto sasa anasema wabunge wanaohusika na ufisadi na kula mlungula watakamatwa. Rais pia akifichua kuwa maseneta hudai hadi shilingi milioni 150 kutoka kwa magavana wanapofika mbele ya seneti kuhojiwa