Wakazi na wazee wa kaya waanza mikakati ya uhifadhi

  • | Citizen TV
    122 views

    Wakaazi wa eneo la Tiwi na wazee wa Kaya katika Kaunti ya Kwale wameanzisha mpango wa kupanda minazi ya kienyeji ili kurejesha hali ya msitu wa Kaya Tiwi. Hatua hii inalenga kulinda na kuhifadhi Kaya Tiwi ambayo imeharibiwa kwa miaka mingi kutokana na uvamizi wa wawekezaji binafsi