Viongozi washabikia hatua ya kutoa vitambulisho kwa wanaoishi Kaskazini Mashariki bila ucheleweshaji

  • | KBC Video
    21 views

    Naibu rais Kithure Kindiki na baadhi ya viongozi wanaoegemea upande wa serikali jumuishi wametetea hatua ya rais William Ruto ya kutoa vitambulisho vya kitaifa kwa jamii zinazoishi eneo la kaskazini Mashariki mwa nchi bila ucheleweshaji. Kindiki amesema agizo hilo ni hatua muhimu ya ujasiri katika juhudi za kukomesha ubaguzi nchini. Viongozi wa upinzani wamekosolewa vikali kwa kupinga hatua hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive